Hatma Episode 12

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 апр 2025
  • Hatma Episode 12
    Mapenzi, Siri, Migogoro na Mitihani ya Maisha vikijaribu imani na maadili ya Kiislamu-Ndoa zikipitia mitikisiko, urafiki ukijaa usaliti, na ukweli ukipambana na uongo🔥. Karibu utazame #HATMA, tamthilia inayogusa maisha halisi kwa burudani, hisia, na mafundisho sahihi ya Dini! Ungana nasi kila siku saa 1:00 jioni hapa RomaBrand. Usisahau ku-subscribe!✨

Комментарии • 22

  • @hdbd8187
    @hdbd8187 20 часов назад +1

    Nmeipenda sana iko na mafunzo ya dini vyema ❤❤❤

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 День назад +2

    Zainabu una moyo ww daaaaaaah kwanza chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Alafu hawa ajifanya mwema mmh zainabu kua makini sana nae huyo hawaa

    • @MalkaNinik
      @MalkaNinik День назад

      Tena sana unafki ndio mwingi maana anataka kupewa nafasi tu

  • @aishadakio7237
    @aishadakio7237 День назад

    ❤ hongereni sana ni nzuri sana ❤❤❤❤

  • @AsiaNgochele-y7h
    @AsiaNgochele-y7h День назад

    ❤❤Tupo atupoa mpaka mwisho

  • @MaryamHAMISI-ei9fq
    @MaryamHAMISI-ei9fq День назад

    🎉🎉🎉 jamanini mbona mudanimchache ❤❤kazi ninzuli saaaaaana

  • @waryobamovietz
    @waryobamovietz День назад

    SERIES NZURI SANA

  • @AzizaJuma-p7x
    @AzizaJuma-p7x День назад

    Nimewahi kazi nzr

  • @MalkaNinik
    @MalkaNinik День назад +2

    Huyu.kakake.hawa hajui din wallah wampangiaje sheria mke wamtu hata kama nidunguyako

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs День назад

    Dada mdogo unakimbilia kuolewa ndoa yakuwa mke wapili 😂😂😂😂 daah kazi ipo ila hawa analake jambo 😢😢😢😢salama kubaliane nahali😂😂😂😂😂

  • @MajiburaAlly
    @MajiburaAlly День назад +1

    Uyu sadala nae wenzie hawasemagi wakitaka kuowa 😂

  • @ChausikuAli
    @ChausikuAli День назад

    Salama kuwa mpole upate mke mwenza😂😂😂😂

    • @AzizaJuma-p7x
      @AzizaJuma-p7x День назад

      Huyo mke mwenziwe ana bwana mwengine sijui itakuaje hko mbele

    • @ChausikuAli
      @ChausikuAli День назад

      @AzizaJuma-p7x 😂😂😂

  • @mishiabdul2834
    @mishiabdul2834 7 часов назад

    Next plzz ya 13

  • @ChausikuAli
    @ChausikuAli День назад

    Wa pili jaman naombeni like japo kumi 😂😂😂😂

  • @HafaswZahra
    @HafaswZahra 21 час назад

    Next pllz ya 13

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 День назад

    ❤❤❤🎉🎉🎉😊😊😊😊😊

  • @SadatiMaman
    @SadatiMaman День назад

    jamani hii movie ina maadir sana nzuri nataman itoke ata vipande 2 kwa siku

  • @AsanteAsante-y3v
    @AsanteAsante-y3v 8 часов назад

    Hii family ya hawa itakuwa ina shida unampangiaje mtu kwake

  • @Fatema-n8x
    @Fatema-n8x День назад

    😢😢😢😢😢